Maana Halisi ya Utani sasaππ Anacho kifanya young africansπͺπͺπππ°
Daaahh nimecheka watani ..yaan nlikua nimewachukiaa ila nimejikuta nachekaa tuu dahh bongo sihami
Wamekimbilia polini mamae πyanga raha sanaππͺπ₯
Yanga daima mbeleee nyuma mwiko hatuchez tena
I lov you yanga ...π’tumemfuata mai wetu kwao haiwezekani akimbie geto kirahis rahis ivyo
πWame pelekewa Moto hukohuko kwenye Shamba la mihogo Bunjuπππππππππ π₯π₯
Simba piga hao vyura ngumiπͺ
πππ Young Africans ni kama Dozi inafanyiwa hadi derivary yani watake wasitake watainywa tuuuπππ
Huh ni uwanja wa simba nikajua uwanja wa shule yetu ya msingiπππππ
Hahahaha me ni Simba ila yangaππππ nimekubali
Ukishabikia yanga ni Raha Sana β€π
Mimi ni simba lakini kwa hii nimewaelewa mashemejiπππ
Chizi sio lazima aokote makopo, vitendo vinaweza kudhihilisha na kudhibitisha hilo
Yanga bingwa πππ°π°
Mganga wao ndio walivyoambiwa msipowaona wachezaji wa simba mtafungwa
Bila shaka hizi ni akili π za Ally namjua ndugu yanguππΎππΎππΎππΎ
ππππINAMAANA TEAM NZIMA IMEKOSA MWENYE AKIRI TIMAMU ATOE USHAURIπ π π π π
Huwezi sema eti yanga hawana nguvu ya kuvunja mechi hata sisi tunaka mechi ichezwe nyie baadhi ya waandishi wa sasa mnakosa weledi kama walivyokuwa ma legendary akina James nhende enzi za mfanyakazi from boy of dzm Hemed njapa wa buguruni.Asanten
Big up sana mtani hii ndo mahana halisi ya watani wa jadi mpira siyo vita bhna,, nawakubali sana watani wangu yangaπ π
@ThekraJanga